Friday, February 20, 2009

Lori lililala hapo usiku mmoja!

Hapo ndipo liliponasa kabla ya shughuli ya kulinasua kufanikishwa.

Vijana wakirudisha mzigo wa mbao uliobidi kupakuliwa wote ili lori litoke liliponasa.

Waswahili wanasema ilikuwa "deal" kwa vijana kupata chochote kitu.

Huitwa Makopa (Mihogo iliyokaushwa)

Baadae husagwa na kuwa unga wa muhogo rasmi.
Niliuliza wakaniambia kwa hapo 1kg ni 300Tsh.

Vijimamboz vya mjini mjini.

Me hoi...

Wananchi wakifua mtoni...


Kutokana na shida ya maji kwa baadhi ya maeneo hali hii huwa ndio suluhisho kwa jamii fulani fulani.

Mbinu mbadala ya ubebaji...




Mpingo huooo!

Magogo ya mti wa mpingo yakipelekwa yanapopelekwa.

Mambo yanapoenda mrama!!

Tairi na spring vyote vimekataa kazi.