Sunday, February 15, 2009

Hili nalo ni kero!

Kwa baadhi ya maeneo hali kama hii ya kujaza vifusi na kukaa miezi takribani sita bila kivisambaza kwa kweli huwa ni kero kubwa kwa wenye magari. Hasa inapofika kipindi cha mvua ndio hali huwa mbaya, maana hujitengeneza tope ambalo hufanya magari hasa malori kunasa kwa kutafuta kuishana. Huu ndio ukandarasi au ubabaishaji kwa hali kama hiyo?

Taifa la Baade hilo!

Kwa wao mifuko ya plastiki ndio mabegi yao kama inavyojionyesha pichani.

Ukandarasi bila mifereji ya maji huo!

Matokeo ya kumong'onyoka kwa barabara pichani ni kwa sababu maji hayana pa kukimbilia.

Kikuyu ya Mtwara sio Kenya!

Kizuri gharama!

Huu msemo mimi nauamini sana kuwa kizuri ni gharama.
Sema na moyo pamoja na mfuko wako ununuapo kitu.

Twende Zanzibar pamoja...

Vekesheni siku moja moja jamani.

Unamjua kinyonga?